AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,894
HIVI, kile kiingereza cha kwenye twitter nani huwa anamwandikia kaka naniliii? maanake mtu mwingine akijaribu kuongea hawezi, ila unashangaa kwenye kuandika ni tofauti. au amemwajiri Rasi simba?
kati ya mitandao na mikutano ya hadhara, kipi kilimpa kick akajulikana dunia nzima? halafu leo utashangaa mtu anakuja kusema haya ya mitandaoni ni udaku? kumbe hata zile sifa ulikuwa udaku?????????//hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa