Baba Adele
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 208
- 229
KAULI ZA MKUU ZINA WALAAKINI
Waungwana matamshi ni katika maeneo ambayo yanaweza kukufanya msikilizaji kutambua mtoa matamshi mtu wa aina gani
Waingereza wana kamsemo kao kua "some people appear smart until they speak" bila shaka kwa msemo huu inatosha kuamini matamshi ya mtu yanaweza kukupa picha huyo mtu ni wa aina gani.
Nikirudi kwenye mada niliokusudia,nimejaribu kuangalia kauli za kiongozi wetu wa nchi zinanipa shida sana juu ya kauli na matendo yanayoendelea kiasi kupata hofu kua ana maanisha na sivinginevyo.
Kauli hatari mfano wote tunakumbuka wakati wa mchakato wa kuteua mgombe wa ccm pale dodoma, baada ya kamati kupitisha jina la mkuu wa sasa,ilionekana baadhi ya wanachama kutoridhishwa na walionesha hisia zao km demokrasia inavyo waruhusu. Katika kupinga uteuzi ule wanachama wengi akiwemo SOFIA SIMBA, EMANUEL NCHIMBI na wengine wengi sana walikua wanaimba na kupiga makofi kua wana imani na LOWASA. tukio hili lilishudiwa na mwenyekit wakat ule Dk Kikwete, cha kufurahisha kikweye alipoona watu wanaimba wana imani na Lowasa nae alijiunha nao kwa kupiga makofi huku aki smile.
Cha ajabu mkuu wa sasa alipopewa nafasi ya kushukuru wanachama pale dodoma alitamka neno hili. " naomna mungu anipe japo robo ya busara zako mzee kikwete maana watu wanaimba kukupinga mbele yako ningekua mm wote wangenitambua"
Kauli hatari za mkuu pia zilisikaka wakati ameshaapishwa na kuanza kazi. Pale kituo cha polisi bila sha ni Boko kilipovamiwa na wananchi na kuchomwa moto. Mkuu aliaikika akisema. "Askari mnachomewa kituo na hakuna hata raia alie lala? Akimaanisha alipigwa risasi. Ilitakiwa walale hata km kuna ndugu yangu ningekuja nikamwambia lala salama"
Wakati wa tetemeko Kagera mkuu alitamka "serikali haijaleta tetemeko, au tuliomba kura kuleta tetemeko? Ikumbukwe kauli ilitolewa wkt watu wapo kwenye huzuni,,majonzi na simanzi ya kupoteza ndugu na mali zao.
Mkuu baada ya tukio la askofu Gwajima wafuasi wake kwenda central alisikika akimuonya IGP na kisema "I WISH I COULD BE IGP
Mkuu baada ya watanzania kuchukizwa na mambo ya uvunjwaji wa sheria yanayoganuwa na mkuu wa mkoa Makonda. Sauti kupazwa kua atengue uteuzi wake. Alisikika akisema SIPANGIWI, NA UKIJARIBU KUNIPANGIE UMEKWENDAA. MAKONDA PIGA KAZI
Lakin.maajabu mengine ya kauli mbaya za mkuu ni pale alipokua akiwaapisha wakina MWAKYEMBE na wengine aliposikikaa akiwaambia waandishi wa habari kua HAMKO HURU KIASI HICHO.
kisa kutoipa msukumo habari ya makontena na kuipa msukumo Habari ya NAPE.
Lakin pia ikumbukwe mkuu wakt ni waziri wa ujenzi aliwaambia ndugu zetu wa kigamboni kua km huna hela piga Mbizi.
Wakati wa sakata la dawa za kulevya pia mkuu alisikika akiwakataza mabalozi wtu nje kutowaaymbelea watuhumiwa wa dawa za kulevya na km wamehujumiwaaa kunyongwa wawanyonge tu.
Kwa haya na mengine mengi yamenifanya nione kuna shida kubwa kwa mkuu wetu wa nchi. Hivyo ikiwa mkuu km alivyodai jana kua anapitia post Zetu na anajua tunayojadili basi afahamu kua katika mambo yanayotuvunja moyo watanzania ni pamoja na KAULI MBAYA KUTOKA KTK KINYWA CHA RAISI WETU.