Nataka kuenda botswana bongo pamenishinda

Nataka kuenda botswana bongo pamenishinda

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,438
Reaction score
2,929
Habar zenu wana jf , baada kuona bongo pamekua pagumu kila siku zinavyosonga nimeamua nimepata wazo la kuondoka nchini na kuelekea botswana kusaka maisha
Kiukweli sijui chochote kuhusiana na botswana zaid ya kua ni nchi ambayo ina opportunity nying sana za kimaendeleo
Hivo nawaomba wale wanaoielewa hii nchi vizur kama vile masuala ya harama za makaazi , usafiri , job opportunity na mengineyo naomba waniseidie kunijuza
Hadi sasa pasport ninayo ambayo ni valid kwa miaka kama kumi mbele
Nakaribisha maoni yenu wakuu
 
Back
Top Bottom