Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
Ktk mwezi huu wa machi 2017 binafsi nimesoma na kusikia mengi kupitia vyanzo vingi vya habari. Lakini nilichojifunza ni kuwa kuna kundi dogo la watu ambao naamini limechanganya watanzania na wasio. wameibeba chuki juu ya nchi yetu. wamethubutu kutoa matusi ili kuonyesha chuki zao. Ushauri: TCRA kwa kusaidiana na cyber crime zifanye kazi ya kuwasaka hawa wenye matusi. kama ilivyokwisha fanya siku za nyuma. Kisha wapewe kipaza sauti waitukane serikali. ili tujue wao ni akina nani. Nimeongea chini ya kiwango nikiamini umenielewa. Asante.