Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Kutoka kwa Malisa Godlisten
Hii ni moja ya magari ambayo tumeambiwa yameingia kwa kufichwa kwenye makontena yaliyodaiwa yana nguo za mitumba. Definately gari hii inaweza kuwa imetokea Japan maana ndipo kwenye soko kubwa la biashara za magari hasa kwa nchi za Afrika. Lakini jambo la ajabu gari hii imetoka Japan ikiwa na namba za Zanzibar. . Asanteni maafisa bandari. Siku nyingine mkitengeneza sinema mkumbuke kubandua plate number.!