mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,311
- 944
Tigo kila kukicha wanapunguza dakika,sms na mb katika zile laini zao za chuo,ambazo zina ofa ya university toka dakika 120 sasa dakika 80,sms 1500 sasa sms 500,gb1 sasa mb 500
Ata mi naona,inapoelekea nitaitumia tu kwenye miamala ya pesaWanaelekea njia ya kukiondoa
Yap hizi ni laini zao wanazotembeza mtaaniKila chenye mwanzo kina mwisho,hiyo ni alarm kwamba kinaelekea ukingoni,lakini itakuwa zile laini wanazouza kariakoo.
Mm yangu yakujiunga chuo kabisa huduma ni ileile haijapunguzwa