Mra Eliphas
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 264
- 234
Taarfa kwamba maafisa wa bandari na baadae Magu , wamekamata makontena kadhaa ambayo yalitoka nje bill of loading ambayo kwa kawaida hutangulia kufika kabla ya mzigo ikionyesha ni mitumba, lakini baada ya kuwa screened kwenye port of offloading hapa dar ikabainika hayana mitumba bali RANGE-ROVERS ni za kutia mashaka.
Huko nje mzigo wowote kabla ya kuingizwa kwenye container hukaguliwa physical na shipping agent kwamba ni kitu gani na baada ya hapo Bill of loading ndiyo inaandikwa na shipping agent.
Container kabla halijapakiwa kwenye meli huchunguzwa tena contents zake na mitambo ya ku- screen ili kujiridhisha kwamba kilichoandikwa kwenye bill of loading ndicho kilichopo kwenye contaoner. Ni procedure ambayo ni vigumu kudanganya contents za containers zinazotoka nje.
Ndio kusema kama ni deal ya kudanganya contents za containers basi mwenye mzigo ahonge Shipping agent wa port of loading, ahonge por officers wa port of loading, ahonge offloading shipping agent na ahonge maofisa wa port of offloading ambayo ni dar! Jambo gumu sana.
Kutokana na hali hiyo kweye marine bussinss ni vigumu kilichoelezwa na maofisa wetu wa bandari na Magu kuwa cha kweli. Inaonyesha hiyo ni hoax ya system ku-overshadow habari ya Nape kutishiwa kuuawa kwa bastola na mwanausalama, kwamba habari kuu ya Magazeti iwe hiyo na siyo ya hao vijana wasiokuwa na sifa ya kuwa wanausalama kumtishia uhai Nape kwa maagizo toka juu. Time will tell.