McCain
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 1,169
- 517
Kama niwewe ungefanyaje/ungejisikiaje uko ziara kama waziri ghafla unasikia umetumbuliwa tena kupitia vyombo vya habari kama ilivyomtokea jamaa. Alikuwa na wenzake wakiangalia luninga ghafla inasomwa kuwa ametumbuliwa sio waziri tena ilibidi apande ndege kwa aibu