TIGO mnasumbua wateja

didi kinuani

New Member
Mar 8, 2016
2
2
wadau.

Kuna taarifa ya kuwa muda wako wa maongezi unakarikiba kwisha ambayo Tigo wanasema pale ukibakiza dakika moja kwa maongezi. Ila taarifa hii uwaga inakatiza mawasiliano na inaleta usumbufu sana.

Tigo tafadhalini badilisheni namna ya kutoa taarifa ya kwisha kwa muda wa maongezi.

Asanteni

Didi kinuani
 
Naunga mkono hoja hasa pale umepanga uongo huwa wananivuruga sana jamani waache mtiririko unaharibikaga
 
LEO NAANGALIA BALANCE NASHANGAA NAKUTA MIA SABA BADALA YA BUKU.

NAULIZA KULIKONI MARA NAAMBIWA NIMEJIUNGA TIGO HADITHI. MAFI YAO MIMI NATAKA HADITHI ZA NINI MNGENIPA HELA NYAU NYIE
 
Back
Top Bottom