Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,455
- 16,661
Sitaki kuongea sana...
Natumia SUV, cc 2360, lt 75 gari ikiwa full tank, sasa leo jioni nikiwa na mishe zangu mabibo taa ya tank inawaka relini ukitoka ubungo(Just 5m from Oilcom station) naongeza mafuta ya 25,000 hapo hapo mabibo mwisho kwenye Petrol pump yenu .
Chakushangaza bado taa inawaka....(Haijawah kutokea hii toka natumia hii gari mwaka wa pili sasa)
maana yake lt 12 plus reserve 10lt bado taa iendelee kuwaka....
nimeamua nitaongeza mafuta asubuhi kwenye vituo vinavyoaminika... potelea mbali
sijataka kujibishana na mtu, because it is a long weekend and yes indeed its a very long weekend...
nimeamua tu itakuwa ni mara yangu ya mwisho kuweka mafuta kwenye kituo chenu.... hata kama gari itazima nitasafiri kwa mguu nikatafute yanapopatikana ila sio Oilcom......
Jipimeni tu mwenendo wenu kwa wateja kama mnawapimia kipimo sahihi cha mafuta..
I don't want to judge anyone... Life will take care of you.