mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,464
Ukifatilia hotuba za Nape wakati wa uchaguzi alimponda sana Lowassa, alichangia kupigwa chini
1. Lowassa mgonjwa
2. Lowassa hawezi kuongea zaidi ya dkk 10
3. Lowassa atajisaidia jukwaani {akiwa iringa}
4. Bao la mkono lilichochewa na Nape na tuliona
5. Akafuta bunge live
6. Akaja na sheria ya habari inayolalamikiwa kuwagandamiza wanahabari
7. Mwisho Nape aliwaaminisha watanzania wengi kuwa Magufuli ni jembe mtu mchapa kazi na Lowassa ni Fisadi, jambo ambalo hadi anatumbuliwa hawakumpeleka mahakamani.
Kwa adhabu hizi za kimya kimya toka kwa Magu naitaji councelling ili nimsamehee na kumuona Nape ni shujaa