Rais wa 11 wa Marekani aliyekufa kwa kipundupindu!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
16,108
25,983
BByItgP.jpg

Rais wa 11 wa Marekani, James K Polk alikufa kwa ugonjwa wa aibu wa kipindupindu.
Alikuwa Rais kwa miaka minne tu 1845~1849.
 
Dah, 1800's
Ila huku mpaka 2000"s bado changamoto serikali nayo no vipaumbele kutwa kukimbizana na mapunga IG
 
Kipindupindu noma, ni ugonjwa unsotokana na kula vimelea vinavyotokana na kinyesi.
Huyo rais hakuwa hygenic.
 
Asante mkuu, ila hujafafanua vizuri yaani hujaishibisha habari yako ndo maana kina The bold wana wafuasi wengi sana.
 
Ni kweli huyu jamaa alipata kipindu pindu kwa sababu baada tu ya kumaliza urais alianza kufanya tour ya nchi nzima kuwashukuru wana nchi, sasa wana sema alipo kiwa Lousiana huko ndio alipata maambukizi ya cholera.
Lakini cha kushangaza ni kiwa hata Rais aliye mfuata ambaye ni Zachary Taylor alikufa kutokana na kipindupindu pia
 
Back
Top Bottom