master hassan
Member
- Feb 26, 2017
- 58
- 18
Mtu anaweza akakufanyia jambo ambalo linaweza likakuuzi mpaka mwenye ukashindwa kujizuia mpaka ukalia au ukamfokea na kumtukana alielifanya ilo jambo.
Maisha yakaendeleaa...
Ikafika kipindi mtu yule alie kuuzi mwanzoni akafanaya jambo ambalo wewe aukuwai kuzani kama yeye angelifanya jambo ilo wewe ukapendezewa na kusahau yote yalio pita.
KATIKA MAISHA KUNA CHANGAMOTO NA UKIONA SHIDA NA MATATIZO YAMEZIDI UJUE NEEMA ZIMEKALIBIAA.