Ungekuwa raia wa nchi nyingine ungeielezea vipi Tanzania ya sasa kwa mstari mmoja tu?

Asume we siyo mtanzania, ungeielezea vp tanzania ya sasa kwa jinsi unavyosikia kwenye vyombo vya habar na social networks


Kuwa Tanzania ni nchi nzuri sana Afrika na inaonyesha mfano kwa nchi nyingine Afrika kuwa, Yes Africans can, why not? Lazima tumpongeze rais wetu kwa kutumbua madudu, Tanzania si nchi masikini....watu wachache wanakula hii nchi na kutufanya watanzania wengi kusihi maisha duni wakati nchi yetu ni tajiri.
 
Back
Top Bottom