Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,682
- 32,204
Naongea kwania njemaa aisee nachokiona mda huu kwenye Saibaba T644 AWD siamini..
Ni basi ya Saibaba inakimbizana na mwenzie kiukweli naogopa yaani wana overtake ovyo hadi gari ndogo zinakimbilia nje ya barabara hii ni hataree sanaa na nyuma imeandikwa God bless us. Atakubarikije unataka kuchinja wananchi? No pls
Kibaya wanapita sehemu trafic wamesimama same speed na pengine wanaovertake mbele yao wanachofanya wanawapigia honi. Sijaeewa na wao nao wanafurahia ama ni salamu ya kawaida...
Tulinde wananchi tupunguze ajali kama possible tuokoe wananchi wasio na hatia kuiona ardhi kabla ya muda wao...
Mh Mpinga embu walimonite hili gari najua kuna mengi huko mbeleni naamini hizi mbio ndizo zinaua