Vimbelembele wa wakati wa kampeni 2015

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,941
24,821
Ebu tuambie nani alikuwa kimbelembele wakati wa kampeni 2015
Yaani licha ya kumshauri sana afanye mabadiliko ya kweli akaona kama unampigia mbuzi gitaa.
Na sasa anaisoma namba kisawasawa yaani ile kibashite bashite mpaka anachukia maamuzi yake mwenyewe.

8d24f7e2a73dca45677139e95ed60dec.jpg



Zero IQ
 
Back
Top Bottom