alvinroley
Member
- Sep 30, 2016
- 71
- 251
Uwanja mzima ulilipuka kwa shangwe Leo uwanja wa taifa pale Nape Nauye alipoingia uwanjani jukwaa la VIP. Watu waliimba Jembe, jembe, jembe huku mwakyembe ambaye aliingia hata watu hawakuwa na habari naye akitabasamu na yeye pia akipiga makofi huku akimuangalia Nape.
Watu waliimba kwa dakika kadhaa huku Nape akiwasalimu kwa kunyoosha mikono juu.
Leo ilikuwa mechi ya Taifa Stars na Botswana ambapo waTZ tulishinda goli mbili kwa sifuri huku goli zote mbili zikifungwa na Samatta