Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,709
- 2,373
Habarini wadau
Baada ya sakata la ney wa mitego kukamatwa na Jeshi la polisi kwa tuhuma ya kutia/kuachia nyimbo yenye utata wa kukashifu uongozi....... pia na kuachiwa kwa madaraka ya RAIS.
NEY wa mitego lazma atatoa nyimbo ya kumsifia kuu wa nchi pamoja na serikali yake... ili ame-ntaini KIKI yake...... trust me