Clouds mna siku tatu tu za kumuomba radhi Gwajima

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Kwa upuuzi wenu wa kukalia kujipendekeza kwa watawala sasa mmepata mulichokuwa mnakitafuta. Mmepewa siku Tatu tu za kuomba radhi kwa kuhusika kwenye mchezo mchafu wa kumchafua Gwajima. Ni wakati wenu sasa kuutumia vema muda muliopewa na Gwajima ili mjisafisafishe vinginevo mnaenda kupotezwa. Na mkome kushobokea watawala. Muwe mnasoma alama za nyakati. Ikumbukwe wazi tu kuwa kibonde anatakiwa awe makini sana maana siku za hivi karibuni amenukuliwa akisema Gwajima ni mvuta bangi.
Kazi kwenu
Mwafa
Dar siyo koromoji
Pombe siyo chai
Mwafa.
 
Clouds walikuwa Sahihi kabisa.

Wamehoji Mtu baada ya Mahojiano wakaamua kutorusha kipindi kwa kuwa hakina sifa stahiki Mara anatokea Jambazi anaiba video hiyo na kuamua kuirusha sasa Clouds kosa Lao lipi?
Wangejuaje yule Mama Mzushi bila ya kumhoji?
Hata sie tumejua Yule Mama ni Mzushi baada ya kusikia otherwise tungejuaje?
 
Tumekuwa na Siku mbili za furaha,ila nahisi ruge ataharibu
aharibu nini na mara ngapi?. keshatoa taarifa akisema jambo hilo liko kwenye uchunguzi na kwamba likikamilika watatoa taarifa. likamilike kivipi? tukio lipo, na linaonekana yeye anasema uchunguzi upi. infact wanachotaka watu ni yeye kuthibitisha kwamba ni kweli daud aliwavamia basi ili chochote kinachoendelea kiwe ni hatua za kinidham/adhabu dhidi ya uvamizi. sasa yeye anasema uchunguzi dhidi ya uvamizi!! hapo ujue ndio imeshatoka hiyo
 
Mi nilikuwa nadhani Mkulu ni mtu wa maamuzi magumu na ya haraka Lakini kumbe inategemea na jipu lilipokaa.
 
sasa kosa la cloud ni nini hasa kukataa kurusha clips au anaejua kosa atufafanulie
hawana kosa kabisa. na wameshajisafisha katika hili. ila wanatakiwa wauthibitishie umma wazi bila kumung'unya maneno kwamba walivamiwa na daudi akiwa na polisi. nchi ya ajabu hii sasa hilo nalo sijui linahitaji uchunguzi wa wapi?. uchunguzi kwamba ni kweli alivamia? uchunguzi huo unatakiwa kufanyika iwapo tu daudi kahojiwa na kakataa kwamba alivamia. sijui ataanzia wapi kukataa sasa. hilo lawezekana iwapo tu clouds watakua wameamua kumlinda la sivyo clouds wana video clips za tukio zima sasa daudi ataikana sura yake?
 
Back
Top Bottom