Je kwanini wakristo wanamjengea nyumba Mungu kubwa kuliko dini nyingine

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,655
Wakristo wanajitoa sana katika kujenga makanisa makubwa ukilinganisha na dini ya upande mwingine je kwanini waho wanashindwa kujenga misikiti mikubwa
 
Haya mambo bana, hivi Yesu alikuwa lutheran, catholic, pentekoste, shahidi wa yehova au nn?
 
Wakristo wanajitoa sana katika kujenga makanisa makubwa ukilinganisha na dini ya upande mwingine je kwanini waho wanashindwa kujenga misikiti mikubwa
Inasaidia nini sasa? Tafuta Biblia kisha soma kitabu cha Yohana 4:21-24, hayo majengo ni vitu visivyo na tija yoyote ile kwa anayejua kweli
 
Wakristo wanajitoa sana katika kujenga makanisa makubwa ukilinganisha na dini ya upande mwingine je kwanini waho wanashindwa kujenga misikiti mikubwa
Katika hili si kwamba Waislam hawajitoi wanajitoa sana ni nadra sana kwa Mkristo hapa Tanzania(Msabato,Mroma,Mlutheri n.k) kujenga Kanisa zima akalikabidhi kwa uongozi waliendeshe, achana na wale wengine wapiga deal, lakini kwa upande wa Misikiti hilo ni jambo la kawaida sana.Kuhusu ukubwa kumbuka misikitini hakuna mabenchi ni kukaa chini, Msikiti ambao kwa mtazamo wa nje unaonekana ni mdogo unaweza kuchukua waumini wengi, Mwisho misikiti pamoja na udongo wake ipo mingi mitaani tofauti na Makanisa Kitongoji kimoja kizima unaweza kukuta lipo kanisa la dhehebu fulani moja tu!
 
Back
Top Bottom