Hashim bin Faustin
Senior Member
- Jan 30, 2017
- 177
- 216
Mh. Rais Leo hii akipokea ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali. Ametoa malalamiko mengi kuhusu rasilimali za nchi zinavyo toroshwa kupelekwa nje nchi wakati sisi wa Tanzania tunabakia masikini.
Akizungumza kuhusu suala la makasha ya mchanga yanayo safirishwa nje ya nchi amesema kuwa toka mwaka 1998 makasha haya yamekuwa yaki safirishwa nje huku watanzania tukiachwa masikini na amediriki kusema wazi kuwa hii ni vita na tuko kwenye vita hivi sasa na kila Mtanzania anatakiwa kushiriki katika vita hii.
Namuunga mkono Mh. Rais wetu katika hili 100% Lakini naomba kumfahamisha Rais kuwa kabla ya kutizama tulipoa angukia ni muhimu kutizama wapi tumejikwa hadi tukaanguka. Na mimi kwa mawazo yangu madogo nina ona tatizo hapa ni CCM ! hichi chama tulicho kiamini miaka yote hiyo kimeshindwa kabisa kusimamia ilani na sera zake na kimekuwa kikiongoza na kusimamia Serikali kisanii 100%. Toka mwaka 1998 Dhahabu zetu zimekuwa zikisafirisha ovyo ovyo na mikataba ya ovyo ovyo huku chama Tawala kimekaa kimya bila kuchukuwa hatua yoyote. Kwa ukweli CCM wametuchezea Shere sana sisi Watanzania wametufanya na kutuona sisi ni malofa tu. Hivyo Basi kwa ushauri wangu ni wakati wa kuipanga CCM upya yenye wanachama waadilifu na wakweli pia ni lazima watu wawajibishwe kwa uzembe huu wa mikataba mibovu na ya ovyo ovyo. Nina muomba M'mungu akupe Busara na Weledi mzuri wa kusimamia hili suala la Madini pia akupe nguvu na ujasiri wa kuwajibisha wazembe wote. Ikibidi fukuwa Makaburi....