Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 996
Nampongeza rais Magufuli kwa kazi anayofanya ni muhimu na tulihitaji afanye hayo. Lakini jambo moja dogo ninalo juu yake; kuna mambo madogo sana ambayo yeye hatuoni sababu ya kuyajua ama kujishirikisha nayo.
Mfano hili la Ney wa Mitego!!?? Mimi naliona dogo sana kwake hapashwi hata kuliongelea. Magazeti yanasemaje? ama JF imeeandikaje? wapo saizi ya hiyo siyo yeye.
Namshauri sasa yeye aweke vikao vikubwa ikulu, apokee ripoti za hali ya usalama wa nchi hata saa sita usiku kabla hajalala, apokee ripoti ya CAG na kuitolea msimamo, apokee mapendekezo ya tume (alizounda, ama za bunge) na kutoa maoni yake, aangalie mikataba mikubwa ya kiuchumi n.k n.k
Kama akipitia hapa, ama vijana wake wakipitia hapa wamsaidie aamue asiendelee kubaki mdogo wakati sisi tumemkabidhi jukumu la kuwa mkubwa.