Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 871
Umeshajiuliza BASATA wataandikaje barua ya kuuruhusu tena wimbo wa Ney. Maana wameshasema hauna maadili sasa sijui maadili yanapatikana wapi na anayeyapima ni nani? Wakati BASATA wanasema hauna maadili, Wizara na Rais wanasema wimbo uko vizuri sana.
Umeshajiuliza nani aliyewatuma Polisi akamkamate Ney? Nani aliyewatuma Basata waufungie wimbo? Je taasisi hizi zinafuata sheria kweli? Au Je Kauli ya wizara kuuruhusu wimbo nayo imezingatia sheria? Kwasababu chombo mlichokipa dhamana ya kusimamia sanaa kimesema wimbo hauna maadili, Wizara mnasema hapana, hapa kuna mmoja lazima awe Ameingizwa chaka na mwenzake!!
Kuitumia akili yako ni muhimu sana ktk uchambuzi wa mambo kadhaa ndani ya taifa letu.
Acha Movie Iendelee, naona Kama asemavyo Ney, Viongozi nao wanashindana Kukiki.
*NGUMU KUMEZA*