Kutoka Kanisa la Gwajima (Mzee wa Madongo) Mapambano yanaendelezwa

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,651
14,314
Kutokana na video iliyoanza sambazwa jana kuhusiana na mwanamke anayedai ana mtoto wa gwajima leo kanisan kwa gwajima kutakuwa kumejaa sana.

Watu wameanza kuingia hapa toka asubuh sana wakiwah viti hasa vya mbele kwa ajili ya kumsikiliza mchungaji huyu akijib mapigo haya.

Kila upande unajaribu kutumia silaha mbalmbal kuudhoofisha upande shindan ingawa mpaka sasa upande wa gwajima unaonekana kupata ushindi mkubwa sana hasa baada ya kuintrodyusi style ya kibashite na miondoko ya Fa Fa Fa Fa....

Upande mwingine nao umekuja na single yao kuwa gwajima yeye dume la mbegu anasambaza tu.

Nini majibu yake?usiende mbali.nunua pop corn na soda kaa nasi.

BOFYA HAPA CHINI
Rudisha Radio is on Mixlr. Mixlr is a simple way to share live aud...

Kumsikiliza Gwajima Bofya hapa: Rudisha Radio is on Mixlr. Mixlr is a simple way to share live aud...
 
Ukisikia SHILAWADU ndio hii!...hivi mfano hata kama Gwajima kampa mimba kweli huyo binti....inanisaidia nini Mimi Ustadhi ambaye ni mwananchi Wa kawaida ambaye maisha yangu yana akisi kutokana na uwajibikaji Wa mtumishi Wa Umma! Mtumishi Wa dini hana madhara kwangu mm muisilam; lakini mtumishi Wa Umma ambaye ni mla rushwa anapoleta mgongano Wa maslahi ni lazima uchumi uyumbe Kwa mgongano Wa wafanyabiashara atakaowapendelea kiasi kwamba mm mlaji nitaumia tu.
 
Kutokana na video iliyoanza sambazwa jana kuhusiana na mwanamke anayedai ana mtoto wa gwajima leo kanisan kwa gwajima kutakuwa kumejaa sana.

Watu wameanza kuingia hapa toka asubuh sana wakiwah viti hasa vya mbele kwa ajili ya kumsikiliza mchungaji huyu akijib mapigo haya.

Kila upande unajaribu kutumia silaha mbalmbal kuudhoofisha upande shindan ingawa mpaka sasa upande wa gwajima unaonekana kupata ushindi mkubwa sana hasa baada ya kuintrodyusi style ya kibashite na miondoko ya Fa Fa Fa Fa....

Upande mwingine nao umekuja na single yao kuwa gwajima yeye dume la mbegu anasambaza tu.

Nini majibu yake?usiende mbali.nunua pop corn na soda kaa nasi.
Mshauri Gwajima aende mahakamani awafilisi maana hawana ushahidi kuthibitisha kuwa amezaa na mwanamke yule. Kuna hela nzuri sana hapo!
 
119eb0fda26d1fa0016d59386e25f186.gif
 
Back
Top Bottom