SIELEWI HILI

realoctopus

JF-Expert Member
May 11, 2014
3,232
1,982
Naomba kujulishwa kuhusu linalo tokea nchini.

Kila panapo tokea tukio kubwa la kisiasa nchini utaona post nyingi zinazo zungumzia mambo yasiyo shabiana na tukio hilo.

Mfano,utaona post zinahusu mapenzi,zingine zinatangaza kuuza bidhaa kama laptop,zingine zinalinganisha miji mikuu.

Kwa nini hizi post zinajitokeza kwa wingi wakati wa matukio makubwa?
 
Kwahiyo wewe unataka likitokea tukio fulani ni lazima watu wote waongelee tukio hilo tuu?

Dunia haiwezi kusimama ili kuzungumzia tukio moja tu,ni lazima maisha mengine yaendelee kama kawaida.
 
Back
Top Bottom