Tunamtafuta mfadhili atujengee msikiti

Tunamtafuta mfadhili atujengee msikiti

dah waleteni huku tuwafundishe ujasiriamali kama huko wanazurura tuu mtaani.
au kama hitaji lenu ni hilo haswaa mtafuteni daudi kanyau nae anafanya kama GSM
 
Jaribuni pia kuwasiliana na Mheshimiwa Dr,Askofu J.Gwajima.
Naamini ataweza changia chochote.
 
Mzee ishaalla naamini washakusikia .na watajitokeza kutoa saadaka zao....waislaam wepesi wa kutoa katika ujenzi wa vyuo au misikiti.
 
Ndugu zangu,naomba msaada wa kujengewa msikiti,eneo tunalo,foundation ipo,matofali yapo,hatuna sment na mabati kwa heshima na taadhima atakayeguswa namuomba inbox kwa kweli.vijana wetu wanazulula tu mtaani.
Salam.
Ebu toa maelezo ya kutosha ili kuepusha maswali na wasiwasi.
Upo wapi?msikiti unajengwa wapi?no ya simu?
 
Back
Top Bottom