S Socw JF-Expert Member Aug 27, 2016 1,329 2,644 Mar 27, 2017 #1 kuna watu nataka kuonana nao wanafanya kazi pale.. hivyo wakuu kwa anayejua studio za choice fm zinakopatikana anijuze nawasilisha..
kuna watu nataka kuonana nao wanafanya kazi pale.. hivyo wakuu kwa anayejua studio za choice fm zinakopatikana anijuze nawasilisha..
Baba XY Member Nov 3, 2016 67 72 Mar 27, 2017 #2 Choice fm ni Station dada ya Clouds zote ziko sehemu moja mikocheni.
S Socw JF-Expert Member Aug 27, 2016 1,329 2,644 Mar 27, 2017 Thread starter #3 Baba XY said: Choice fm ni Station dada ya Clouds zote ziko sehemu moja mikocheni. Click to expand... thanks mkuu
Baba XY said: Choice fm ni Station dada ya Clouds zote ziko sehemu moja mikocheni. Click to expand... thanks mkuu