Kuhusu kauli ya Nape ya kulala porini siku 28.

Qunax

Senior Member
Oct 16, 2016
100
127
Waungwana naomba kupewa tafsiri ya kauli ya @Nape kulala siku 28 msituni hadi kuvunja mkono ili CCM irudi madarakani.
Kwani kulikuwa na [HASHTAG]#Vita[/HASHTAG]?
Au msituni walikuwa wanatafuta mizizi ya kuturoga Watanzania.
Kwa fikra za mbali nimewaza kipindi cha uchaguzi kuna ndumba nyingi sana zinatembea ndo maana baadhi ya raia kipindi cha uchaguzi wanakuwa na maluwe luwe sana.
Nakumbuka hata Lowasa alionekana anaumwa sana kipindi cha uchaguzi saiz mzee yuko njema tu, na katika ratiba ya kampen zake alisema angemalizia bagamoyo lakini ghafla tukasikia bagamoyo haendi sijui wazee walishakaa mstuni siku 100.
Dah, hii ndio TZ bwana.
But tukumbuke mwisho wa siku kiongozi aliepatikana kwa nguvu za giza hawezi kuongozwa na [HASHTAG]#Mwenyezi[/HASHTAG] Mungu.
 
Back
Top Bottom