The straw that broke the camel's back

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,428
3,937
Niliamua kuacha kuandika lolote humu (ingawa nina mambo mengi ya kusema kwa faida ya wengi) kwa sababu maoni yangu kila wakati yanafutwa ingawa sijawahi kumtukana mtu wala kusema jambo lolote ovu. Nimeona tu ni share hili jambo kwa sababu nadhani lina uzito. Leo nimetokea kufikiria huu msemo 'the straw that broke the camel's back' na najaribu kutafakari una maana gani pana hasa kwa nyakati hizi tunazoishi.

Naomba wachangiaji.
 
'the straw that broke the camel's back = kitu/jambo dogo linalomwangusha/kumshushua mtu mkubwa.Itumie hiyo maana kuyatafsiri/kuyachambua mambo uyatakayo.
 
Niliamua kuacha kuandika lolote humu (ingawa nina mambo mengi ya kusema kwa faida ya wengi) kwa sababu maoni yangu kila wakati yanafutwa ingawa sijawahi kumtukana mtu wala kusema jambo lolote ovu. Nimeona tu ni share hili jambo kwa sababu nadhani lina uzito. Leo nimetokea kufikiria huu msemo 'the straw that broke the camel's back' na najaribu kutafakari una maana gani pana hasa kwa nyakati hizi tunazoishi.

Naomba wachangiaji.
Kufikia mwisho wa kiwango cha uvumilivu,na kwamba hutakubali kuvumilia ujinga tena
 
Asanteni wachangiaji. Maana ya msemo wenyewe nauelewa ila toka umenijia leo asubuhi nimekuwa najaribu kulink na mambo mengine yanayoendelea hapa duniani. Kawaida kitu kikinijia kichwani kwa dizaini hii, huwa kuna kitu kinatokea kinachofanana nacho.

Nashangaa uzi huu bado haujafutwa tu!
 
Back
Top Bottom