Kuna shida gani Tanga fresh?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Waziri wa viwanda, tafadhali fuatilia kujua kuna shida gani katika uzalishaji wa maziwa katika kiwanda cha Tanga fresh....

Kiwanda hiki kilikuwa na faida kubwa kwa walaji wa bidhaa hii na pia kwa wazalishaji wadogo wadogo wa maziwa wa mkoa wa Tanga...

Upatikanaji wa maziwa ya Tanga fresh umekuwa mgumu sana hapa Dar. Inawezekana wale wazungu waliokuwa wanakisaport kiwanda wamejitoa au kuna shida gani? Futatilia kujua namna ya kusaidia kiwanda hiki cha kipekee kisijekuzama...
 
ni kweli uzalishaji wake kwa sasa upo chini na ndo mana sokoni machache, lakini kuna maziwa yanaitwa AMIY yapo vizur na ni full cream, tanga fresh wasipoangalia watapotea
 
Back
Top Bottom