Kampeni ya upandaji miti ilenge kwenye vyanzo vya mkaa

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, Tabora wanapanda miti katika kampeni aliyoizindua mkuu wa mkoa, ni jambo jema ila nionavo mie zoezi hili lingepanuliwa zaidi kwa kupanda miti kule kunakopatikana mkaa.

Wengi hivi sasa wanapanda miti mijini tu na kuacha pembeni ya miji ambako ndo mkaa unakotoka.
 
Back
Top Bottom