Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 998
Leo saa sita na nusu mchana huu hapa njiapanda ya segerea polisi wa usalama barabarani wamewashusha abira kwenye basi na kulikamata hilo basi, hao abiria wametokea Tandika na wakiwa wanaomba polisi wapelekwe kwanza Gongolamboto ndiyo dereva alilete bas kituoni, matokeo yake wakaanza kumkamata abiria kwa nguvu na wamempeleka sitaki shari na kupiga vihora utafikiri huyo mzee ni Jambazi inaonesha huyo anaweza kubambikiwa kesi kwa nini polisi wetu hawajui kunegotiate wao kila kitu ni minguvu.
Nimeamua kuandika kwa sababu hata mimi na abiria wenzangu tarehe 22 jumatano old bagamoyo pale kwenye kituo cha magari yaendayo kasi tulishushwa kwenye basi la bugruni tukitokea kawe saa nne usiku bila kujali haki za abiria, Askari mwenyewe anaitwa LUSEKELO MWANJALA ni wa pale osterbay.
Kama gari inashida inakuwaje tokea asubuhi isikamatwe msubiri usiku au mchana muda kama huu hamjui kuwa mnaleta adha kwa abiria?.
Kamanda mpinga fuatilia huyu abiria aliyekamatwa hapa njia panda segerea wanaenda kumsulubu pasipo makosa kwa sababu aliwashinda hoja,na tabia ya kukamata basi lenye abiria bila kuwatafutia usafiri mbadala siyo haki nchi ni yetu wote