Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mambo muhimu matatu wabunge bila kujali itikadi za vyama vya siasa wanatakiwa kuyaanza kuyafanyia kazi baada ya bunge kuanza.
1) Wapeleke mapendekezo bungeni kwenye katiba kiwepo kifungu ambacho kitaruhusu raisi kushitakiwa akimaliza madaraka yake hili jambo ndio linalotuumiza
2) Wabunge wapeleke mapendekezo bungeni kuwepo na katiba kufanyiwa mapendekezo kuwepo Tume huru ya uchaguzi .Bila kuwa na Tume Huru ya uchaguzi tutaendelea kulalamika kwenye uchaguzi mpaka mwaka 2057.
3) Wabunge wapeleke mapendekezo katiba kufanyiwa marekebisho matokeo ya kura za raisi yahojiwe mahakamani
Baada ya hapo mapendekezo kupitishwa tungeheshimiana hili la raisi kutoshitakiwa ndio shida ya muda mrefu mbona nchi kubwa kama Ufaransa na nyingine nyingi tu wameweka katiba inayoruhusu raisi kushtakiwa baada ya kutokana madarakani kama ana tuhuma za ufisadi.