Nipo mbali na office za TRA nimeona ni vizuri nikafanya malipo kwa njia ya m pesa kupitia option ya REGISTER T....DTU kwenda 15341, lakini kila nikituma sms kwenda namba hiyo sipati reference number ili niweze kufanya malipo, je huduma hii imesitishwa kwa sasa? naomba msaada kwa yeyote mwenye taarifa, maana TRA nimewapigia kupitia namba zao walizoweka kwenye website yao hazipatikani.