Ni kwa muda mrefu sasa hili swala la ulipaji wa road licence kwa hivi vyombo vya moto unanikatisha tamaa. Unakuta mteja unadaiwa deni la zaidi ya mwaka na unajikuta uwezo wako ktk ulipaji wa hilo deni ni kwa awamu, kitu ambacho kwa utaratibu wa mamlaka husika nafikiri hakiwezekani, maana nilishawahi kuuliza kwenye moja ya vituo vyao. Kwa maelezo niliyopata unahitajika kulipa deni lote kwa pamoja. Hii ni mtihani kwa baadhi ya wadau.