mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Amani iwe kwenu..
Kuna kauli inasema "kuliko mtu kutudanganya kuwa trump kamsifia magufuli, Ni heri mngetudanganya kuwa nyerere alimtokea magufuli juzi usiku akampongeza kwa uchapakazi wake"
Leo ni siku ya jumanne siku ambayo marekani walifanya mageuzi makubwa katika uongozi wa rais wao. Ni siku ambayo wamarekani waliitambua kama "jumanne nyeusi"
Lakini ni kwanini viongozi wetu wanapenda kutatua matukio kuliko kutatua chanzo cha matukio?
Wimbo wa Ney "wapo"umedadavua sana serikali ya magufuli.
Swali,,, Je magufuli amefikiria nini juu ya ney kuimba wimbo wa "wapo"katika jamii?
Binafsi nimepata ujumbe mkubwa sana kutoka kwa Ney ni kwamba hali ya maisha ni ngumu sana, sababu ni kudumaa kwa uchumi wa nchi. Rais yupo kimya kama sio mtanzania mwezetu na chaajabu rais hataki ushauri.
Najaribu kutoa mawazo ya Ney katika wimbo wa "wapo"
Yapo mengi sana kama utataka kuelewa mantiki ya ney...
Najua watetezi wa magufuli mtaona kama jambo la kawaida lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.Hali ni mbaya
Note.. Je magufuli anafikiria nini juu ya chanzo cha Ney kuimba wimbo wa "wapo"?
1.Ajira hakuna.
2.Uchumi umedumaa.
3.Nchi inaongozwa kibabe.
4.
Magufuli unaacha kuruhusu ajira ulizositisha, unaruhusu wimbo wa ney upigwe!!!!!! Hizi KIKI za bei nafuu zinaligarimu hili Taifa.
Tambua chanzo??? Tafakari.
Asanteni.
mr mkiki.