mwenda wazimu
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 819
- 1,278
Nina ishi kigamboni mara nyingi nimekuwa napenda kufanyia mazoezi jioni eneo la daraja,ninacho kiona kila leo kukicha kina kela JKT wanao husika na ulinzi pale wamekuwa ni kelo kwa wana nchi wa nao tumia daraja hilo hasa pale wanapo piga picha.ukipiga picha tu utamuona askari akija na kukunyanganya simu kisha wanakupeleka pembeni utapewa vitisho vingi kisha utaambiwa ulipe au uwapoze wao uenda ikawa ni utaratibu wa ofisi zao pale ila shida iliyopo hakuna mabango ambayo yanakataza kupiga picha wala linalo elekeza namna ya kufanya ili upige picha,hili swala wahusika waliangalie upya akuna mtu anae fika pale darajani asitamani kupiga picha,kama tumeamua kuifanya ni biashara basi wekeni utaratibu mzuri na si kugeuza sehemu ya rushwa kwa hawa walinzi wa jkt na ukiwa uliza wanajeuri kama nn
wahuska chukueni hatua,kabla atujaanza kuwapiga picha za siri na kulichafua jeshi la jkt
wahuska chukueni hatua,kabla atujaanza kuwapiga picha za siri na kulichafua jeshi la jkt