illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
Mnaolalamikia polisi kwa kitendo alichofanyiwa nape, niwaulize nani kawambia wale walikuwa ni polisi? kama bastola kila mtu ana uhalali wa kumiliki .....au hatujui sare za polisi nchini binafsi nitawaita watu wenye silaha, wanaweza wakawa ni wahuni tu kama kulikuwa na umuhimu wa kuwaleta polisi kama wa mwangosi tungewatambua kwa sare zao kwa maana yule mrefu mwenye kofia alipoambiwa onyesha kitambulisho akatoa silaha au mimi ndio sielewi, huku uswahilini kuna wahalifu wa kukodi kibao na polisi wenye mafunzo hawezi kufanya kile kilichotokea pole sana mzee wa goli la mkono