Natafuta mwandishi wa story ya filamu

SH NGAPI MKUU? UNATAKA STORY GANI? MIMI NI MTU WA FIX BALAA YAANI NINA STORY SANA UNAWEZA KUMAKE BONGE LA MOVIE
 
Mkuu I did this toka nasoma secondary.. Kuna kazi zangu kadhaa niliuza na zikafanya vizuri.. Sasa funguka.. Wewe ni msanii au uko upande wa production ? Tuanzie hapo kwanza
 
Mkuu I did this toka nasoma secondary.. Kuna kazi zangu kadhaa niliuza na zikafanya vizuri.. Sasa funguka.. Wewe ni msanii au uko upande wa production ? Tuanzie hapo kwanza
Ncheki p.m tuyajenge
 
Mimi ni mwandishi wa riwaya nchini Tanzania, hadithi zangu ni za kipelelezi haziwezi kuigizika filamu hapa, ila ninaweza kukutafutia mwandishi umtakaye akufanyie kazi ila uwe na pesa tu ya kumlipa vizuri. Maana wengi wa filamu na wamiliki wa magazeti mnaotafuta waandishi mnawanyonya sana wenzetu na hawanufaiki chochote zaidi ya kupata pesa ya nguo au ya kulipa pango la mwezi tu.

Ukiwa tayari nicheki whatsapp 0713776843 tu na utaje ni hadithi ya namna gani nijue mwandishi yupi anakufaaa. Ila kama hutoweza kumlipa vizuri, unaweza kuangalia utaratibu mwingine.
 
Back
Top Bottom