Hali ni mbaya watu tunapanda daladala bila nauli na hatujui tunakoelekea

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Nimeshuhudia kama mara tatu hivi ndani ya daladala watu wanapanda bila nauli bila aibu maisha yamewapiga watu, makonda wengine Hawana huruma wengine wanasema mbona hukuniomba kabla hujapanda.

Lakini ukimuuliza we mama unaenda wapi atakuambia wewe Baba acha tu khali tete sijui naelekea wapi lakini nikishuka nitajua mwanangu.

Mh. Rais achia kidogo kwa mwezi huu ni zaidi ya machi twafaa.
 
Mi nafikiri lugha yetu inaeleweka vizuri ila tu hautaelewa usipotaka kuelewa kwani nini tafsiri ya wataisoma namba..?
sasa tulichagua tulichochagua basi tunapata matokeo ya kile tulichochagua hakuna uonevu,uonevu ni mtu kutofanya kile alichokisema
 
Hata mimi leo nimekutana nayo hiyo. Dah niliwaza sana. Ila tutafika tu
 
Nimeshuhudia kama mara tatu hivi ndani ya daladala watu wanapanda bila nauli bila aibu maisha yamewapiga watu, makonda wengine Hawana huruma wengine wanasema mbona hukuniomba kabla hujapanda.

Lakini ukimuuliza we mama unaenda wapi atakuambia wewe Baba acha tu khali tete sijui naelekea wapi lakini nikishuka nitajua mwanangu.

Mh. Rais achia kidogo kwa mwezi huu ni zaidi ya machi twafaa.
wewe abiria unauliza abiria mwenzio anaenda wapi? mbona yeye hajakuuliza! halafu ulitegemea akujibu vipi? na kwa ujuha wako umekuja kutupia huku.
 
Nimeshuhudia kama mara tatu hivi ndani ya daladala watu wanapanda bila nauli bila aibu maisha yamewapiga watu, makonda wengine Hawana huruma wengine wanasema mbona hukuniomba kabla hujapanda.

Lakini ukimuuliza we mama unaenda wapi atakuambia wewe Baba acha tu khali tete sijui naelekea wapi lakini nikishuka nitajua mwanangu.

Mh. Rais achia kidogo kwa mwezi huu ni zaidi ya machi twafaa.
Hapo ndipo sielewi ...kuachia kitu gani?
 
Back
Top Bottom