Serikali inapoteza kodi bilioni 6 kila mwezi kwa kuzuia uuzaji wa viroba!

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
1,333
Serikali ya Tanzania inapoteza kodi ya sh. bilioni 6 kwa kila mwezi kwa kuzuia uuzaji na uzalishaji wa viroba bila kufuata. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzuia uuzaji na uzalishaji wa viroba nchini wafanyakazi zaidi 600 wamepoteza ajira.

Wafanyabiashara zaidi 100 wamepata hasara kubwa sana pia serikali imepata hasara ya kupoteza kodi ya sh bilioni 6 kwa kila mwezi mmoja.
 
Anyway, ilikuwa busara kuzuia now than latter lakini pia tulishachelewa coz vijana wameharibika sana.

Viroba ilikuwa ni shida hasa vile viroba jogoo vya megatrade.
 
Serikali inagharamia wananchi wake zaidi ya Trillion 20 kwa mwaka kwa magonjwa ya kansa ya koo,magonjwa ya ini, figo n.k viroba na pombe kali ni hatari zaidi. Bora wakose kuliko vifo kuzidi.
 
Serikali inagharamia wagonjwa wangapi wa kansa ya mapafu ambayo inasababishwa na tumbaku?
 
Serikali ambayo ipo kwenye hali mbaya sana kiuchumi inapoteza kodi ya sh bilioni 6 kwa mwezi kwa maamuzi ya mtu mmoja
 
Konyaji zinatengenezwa kwenye chupa wanatumia maziwa freshi?
mambo menginewe lakini sio dawa za kuhifadhia maiti na ndo maana ilikuwa ukinywa hivyo viroba unapata kunywa naji saaana kwasababu dawa ya kuhifandia maiti inakausha maji mwilini
 
Serikali ya Tanzania inapoteza kodi ya sh. bilioni 6 kwa kila mwezi kwa kuzuia uuzaji na uzalishaji wa viroba bila kufuata. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kuzuia uuzaji na uzalishaji wa viroba nchini wafanyakazi zaidi 600 wamepoteza ajira.

Wafanyabiashara zaidi 100 wamepata hasara kubwa sana pia serikali imepata hasara ya kupoteza kodi ya sh bilioni 6 kwa kila mwezi mmoja.
Hopeless!!
 
Dah...Acha ujinga bana..mmezidi sasa....Kilichozuiwa ni uzalishaji na uuzaji wa pombe kwenye vifungashio vya mifuko ya plastiki na si uuzaji wa pombe....Akili za hovyo sana hizi
 
mambo menginewe lakini sio dawa za kuhifadhia maiti na ndo maana ilikuwa ukinywa hivyo viroba unapata kunywa naji saaana kwasababu dawa ya kuhifandia maiti inakausha maji mwilini
Huo uwongo kawadanganye wajinga wenzako
 
Huo uwongo kawadanganye wajinga wenzako
ni kweli ndugu yavu vile vinavyotengenezwa mtaani ndo vina mixer ya vitu hivyo kama ulikuwa unatumia lazma unione mjinga angaliwa wewe ndo usije ukawa mjinga mwenzangu ... unajua vinatengenezwa na nini?

mjinga mwenyewe:mad::cool::cool: nambie vile feki vinatengenezwa na mchanganyiko upi
 
mambo menginewe lakini sio dawa za kuhifadhia maiti na ndo maana ilikuwa ukinywa hivyo viroba unapata kunywa naji saaana kwasababu dawa ya kuhifandia maiti inakausha maji mwilini
Unaamini pombe za kwenye chupa kuliko za karatasi /viroba? Zote zinachakachuliwa tu.
 
Back
Top Bottom