masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Hili la matumizi ya vyombo vya usalama kwa matakwa binafsi yanainua wasi wasi mkubwa sana.
Tumeona sakata la kuingiliwa Clouds.
Tumeona sakata la Nape kutishiwa bastola.
Waziri wa mambo ya ndani amekiri wanaotumika si polisi.
Polisi wana sheria zinazowaongoza, ikiwa ni pamoja na mahakama.
Hizi ni dalili mbaya sana maana baada ya hapa watu wataanza kupotea!
Wanasiasa wetu unganisheni masuala haya na muione picha nzima.