Kamanda Sirro wewe ni jembe

Ninja

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
353
543
Nisiandike mengi sana, lakini wenzangu katika kazi za ulinzi na usalama tukubaliane tu huyu jamaa ni jembe sana. Najaribu tu kujiuliza kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi kwa taifa hili kama ingekua mimi au wewe saa hizi....haki ya mtume...JPM una jembe mkuu wangu...
 
Ni raha sana vijana wa CHADEMA kusalimu amri

DSM hakuna uhalifu wala nini kimyaaa!!!!!
 
kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi kwa taifa??

Kaka tunaojua kazi ya kamanda katika maisha yake tunatokwa na machozi tunapoona dharau alizofanyiwa na kijana yule.
 
Jembe kuendeshwa kama kishada na mtu asiejua sheria?
Au kujifanya kamishina wa mapato mkoa wa Dar es salaam?
Apangiwe mkoa mwingine tumechoka kuona mishahara na mitaji yetu tunagawana na serikali
 
Nisiandike mengi sana, lakini wenzangu katika kazi za ulinzi na usalama tukubaliane tu huyu jamaa ni jembe sana. Najaribu tu kujiuliza kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi kwa taifa hili kama ingekua mimi au wewe saa hizi....haki ya mtume...JPM una jembe mkuu wangu...
Jembe wapi wakati alikuwa anapelekeshwa na mzee wa fafaaaa hadi unamuone huruma!!? Mtu una weredi ktk sheria unakubali mtu hata basic ya sheria hajui anakufanya anavyotaka?! Hadi mzee mzima unaonekana hufai!! Mzee wa misimamo alikuwa AFRED TIBAIGANA!! Kwani alisimamia kile anachokiamini kuwa kiko sahihi, kwa kazi yake sio hawa unakuwa kama tv remote iko kwa mzee wa fafaa faaa!! Ila kama angeamua kusimamia taaluma yake ni kiongozi mzuri ila huyu mzeee wa fafaaaa ndio anamharibia CV. Ni afadhari kuliko yule mzee wa jicho kodo!! Mzee wa misifaaa!!! Aliyestaff
 
Ni raha sana vijana wa CHADEMA kusalimu amri

DSM hakuna uhalifu wala nini kimyaaa!!!!!
Kuna sehemu imeshuhudia uhalifu wa wazi wazi kama Dar es Salaam kwa miezi hii miwili mitatu? Labda uwe hujui kwamba forgery ni uhalifu kwa kuwa umelishwa limbwata
 
Kaka tunaojua kazi ya kamanda katika maisha yake tunatokwa na machozi tunapoona dharau alizofanyiwa na kijana yule.

Kijana yupi na dharau ipi? si kila mtu humu anajuwa kila kitu. Funguka.
 
Kuna sehemu imeshuhudia uhalifu wa wazi wazi kama Dar es Salaam kwa miezi hii miwili mitatu? Labda uwe hujui kwamba forgery ni uhalifu kwa kuwa umelishwa limbwata

Usichanganye mambo mkuu. Kama umewahi kuwa Afisa usalama au ulinzi utanielewa.
 
Jembe wapi wakati alikuwa anapelekeshwa na mzee wa fafaaaa hadi unamuone huruma!!? Mtu una weredi ktk sheria unakubali mtu hata basic ya sheria hajui anakufanya anavyotaka?! Hadi mzee mzima unaonekana hufai!! Mzee wa misimamo alikuwa AFRED TIBAIGANA!! Kwani alisimamia kile anachokiamini kuwa kiko sahihi, kwa kazi yake sio hawa unakuwa kama tv remote iko kwa mzee wa fafaa faaa!! Ila kama angeamua kusimamia taaluma yake ni kiongozi mzuri ila huyu mzeee wa fafaaaa ndio anamharibia CV. Ni afadhari kuliko yule mzee wa jicho kodo!! Mzee wa misifaaa!!! Aliyestaff

Sio kwa zama hizi mkuu. Hizi zama anaziweza Sirro.
 
Nisiandike mengi sana, lakini wenzangu katika kazi za ulinzi na usalama tukubaliane tu huyu jamaa ni jembe sana. Najaribu tu kujiuliza kijana yule alivyoleta dharau kwa kamanda aliyefanya mengi kwa taifa hili kama ingekua mimi au wewe saa hizi....haki ya mtume...JPM una jembe mkuu wangu...
Anafanya kazi katika mazingira magumu sana. Hafanyi kazi za kipolisi anaingiliwa kiutendaji aachwe huru atumie ujuzi wake
 
Kati listi ya Bashite,ambayo kamanda aliwatia watu ndani,kuwapima kwa nguvu,kuwasachi nyumba zao,kuwa dhalilisha, kuwafedhehesha na komedi kedekede ,je kuna aliyekutwa na hatia na kuadhibiwa?

Nayaona yale yale ya Suleiman Kova,kelele nyingi mbele ya kamera za tv
 
Sio kwa zama hizi mkuu. Hizi zama anaziweza Sirro.
Kweli jamaa sio mbaya ki vile ila bashite ndio anataka kumpeleka anavyotaka yeye wakati kwenye mambo ya usalama bashite hajui kitu!! Kazi yoyote ukianza kuendeshwa na mtu ambaye hana ujuzi nayo mwisho wa siku unaonekana hufai!! Unakumbuka sakata la shisha? Mala ni marufuku watu kupumzika guest house mchana?!! Na hilo la ngada!?
 
Back
Top Bottom