Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Habari wanajf
Najuwa kwa ushauri huu wapo watu mtanishambulia kwa kuona kuwa nimeshauri vibaya lakini kwa upande wangu naona serikali ikifanya hivi itakuwa imefanya jambo jema.
Mara kadhaa viongozi mbalimbali wangazi za juu za serikali wamekuwa wakinukuliwa wakidai kuwa kuna sekta wafanyakazi wamezidi idadi kuliko mahitaji ya endeo husika, huu ni uharabifu Wa pesa kwa sababu haina Baja ya wafanyakazi kurundikana sehemu Moja wakati kazi wanayofanya ingefanywa na watu wachache.
Hongera sana Bashite kwa kuwa uliwahi kutoa wazo LA kupunguza mrundikano Wa wafanyakazi wengiiiiiiiiii wakat utendaj ni zero
Kuna sekta ya walimu pia ambayo viongozi Wa wizara ya elimu, wamenukuruwa mara kadhaa wakidai kuwa walimu wamezidi hadi kuna walimu Wa ziada. Kwa nini hawa Wa ziada wadiachishwe kazi ili kuokoa matumizi yasiyo ya lazima?
Kuna haja gani ya kumhamisha Mwalimu atoke sekondari alipoandaliwa kufundisha masomo mawili, apelekwe kufundisha shule ya msingi wanaposoma masomo zaidi ya saba? Kama idadi ni kubwa serikali isiwe na kigugumizi kupunguza wafanyakazi kwani hili hutokea mara kwa mara katika nchi mbalimbali
Huo ndio ushauri wangu