GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,314
Ukitafakari kwa kina yanayotokea na kuendelea katika nchi yetu utagundua jambo moja. Kuanzia miaka kadhaa nyuma. wenye akili ni kama walifanya mgomo wa kuzaa. wakaacha kuzaa. isipokuwa wachache sana wakazaa. ila wale wengine wao wakaendelea kuzaa zaid na zaidi. nchi imekuwa na wananchi wengi ambao ni wale wengine uzao wa nyoka na wale ambao walipaswa kuzaliwa hawajazaliwa.
ndo maana utaona viongoz wakubwa sana, wabunge,mawaziri,wakuu wa mikoa na wilaya na viongozi mbalimbali wanafanya na kutenda mambo ya aibu sana halafu wala hawaoni ni shida. zaman ilikuwa mtu hata akikohoa anaomba msamaha kwa kukohoa kwenye kadamnas na au anaenda kukoholea pembeni.siku hizi hata akijisaidia kwenye kadamnasi haoni kama ni shida.
na hapa ni watu wenye umri mbali mbali kuanzia 18- 70 wapo hivyo. Tanzania inawezekana kabisa katika afrika tukawa tunaongoza kwa kuwa na watu hopeless kuliko nchi nyingine.ashakum si matusi. mambo yanayoendelea nchini kwetu yanatia kichefu chefu, yanaleta ukakasi na njaa. yanaleta kungulia na kusababisha pia upungufu wa fikra kichwani(UFIKI)
ni taifa ambalo halina mwelekeo. halina linachoshikilia. linawaya waya... na viongozi wake wameamua kujijenga wao kwa maslah yao na vyama vyao na si kwa maslah ya wananchi. alishakufa nyerere na watu wake.
tuwaombee wazaz wenye akili wazaze na sisi wenye akili tuzae kwa wingi sasa. tusiwaache wale wengine tu kuzaa tukasahau kuwa dunia yetu hii ya kitanzania tunajaza watu wenye UFIKI.