Benki Kuu Tanzania (BoT) kusitisha uzalishaji wa noti ya shilingi 500

Fundamentalist001

New Member
Mar 29, 2017
2
0
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema itasitisha uzalishaji wa noti ya shilingi 500 kutokana na kuwapo sababu mbalimbali.

b1eab__TZ35.JPG
 
Zipo sababu za kitalamu za kufanya hvyo kuliko kuendelea na fedha hizo ni bora ku ziondoa kwenye mzunguko
 
Au nao wanalia ukata? Ni halali wasitishe sbb hayo material ya kutengenezz hizo hela nayo yananunuliwa. Km Bajeti ya 2016/2017 imefeli 90% lazima nao wasitishe.
ZIMBABWE YA MUGABE ILE INAKUJA
 
Back
Top Bottom