Nani aligundua mchezo wa draft?

sir None

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
428
213
Hivi mchezo wa draft ni nani kagundua na aligundua kwa nia gani na sababu zipi zilipelekea yeye kutaka kugundua?
 
Inasemekana ni uingereza japo sina ushahidi,
Maana France nao wanalakwao la kula mbele na nyuma kwa kete na kingi.
 
Back
Top Bottom