Kampuni ya Tanzania Distilleries (Watengenezaji wa Konyagi) watoa memo ya kupunguza wafanyakazi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kampuni ya kutengeneza vinywaji vikali ya kanyagi na vinywaji vingine watoa memo yakupunguza wafanyakazi.

IMG-20170330-WA0022[1].jpg
 
Kampuni ya kutengeneza vinywaji vikali ya kanyagi na vinywaji vingine watoa memo yakupunguza wafanyakazi.

[

CHADEMA wafanyakazi wenu mumewapunguza kimya kimya hilo hamkuandika hapa. hivi mumuwalipa mafao yao? Hebu yawekeni hapa.
 
Watajiweka sawa na kujipanga kivingine(baada ya kuondoa viroba) ili warudi tena kwenye biashara.
 
Dhana ya Hapa Kazi Tu inapokinzana na uhalisia. Hapa Kazi Tu inapopunguza wenye kazi halali nayo ni kazi? Hapa Kazi Tu inaporuhusu uvamizi wa ofisi za watu nayo ni kazi? Hapa Kazi Tu ni wimbo utakaochuja mapema zaidi kuliko nyimbo zilizotangulia za Kasi Mpya na blaa blaa. Hapa Kazi Tu isiwe ni ya kuhakikisha wengine hawana kazi. Tafadhali.
 
Kampuni ya kutengeneza vinywaji vikali ya kanyagi na vinywaji vingine watoa memo yakupunguza wafanyakazi.

View attachment 488793

Afadhali kwani kuna kademu kamoja hivi ka hapo kalinisumbua mno ila nahisi kwa hii coming retrenchment ' nitambandua ' sana. Kufa kufaana na nitoe tu pongezi kwa Kampuni ya Konyagi kwa hatua hiyo nzuri kabisa ambayo itatufanya sasa ' tuheshimiane ' humu mitaani kwenye ' msoto ' original kudadadeki!!!!!!!
 
CHADEMA wafanyakazi wenu mumewapunguza kimya kimya hilo hamkuandika hapa. hivi mumuwalipa mafao yao? Hebu yawekeni hapa.
Hatari, badala ya ajira kuongezeka zinarudi Kinyume nyume. Iwe Chadema iwe CCM watu kupunguzwa kazi daaaa ni kadhia mbaya sana
 
Back
Top Bottom