Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,198
- 3,944
Inakuwaje faili la plot ya mtu halionekani kwa zaidi ya mwezi sasa? Nimenunua kiwanja kwa mtu,, tumekamilisha vigezo vyote...mwisho mnanitaka kuleta picha 6 za aliye niuzia Kiwanja......naleta picha na hapo ndo black bla zinaanza, faili halionekani na kila Siku njoo kesho njoo Kesho bila kujua gharama ninazotumia kuja hapo Ddoma...
Naomba litazameni hili vyema na hasa idara ya masijala...natarajia kurudi tens hapo kwenu mwisho wa wiki hii ili kujua hatma ya plot hii No: 1- - 9 iliyopo Kikuyu Kaskazini, block Z.
Naomba litazameni hili vyema na hasa idara ya masijala...natarajia kurudi tens hapo kwenu mwisho wa wiki hii ili kujua hatma ya plot hii No: 1- - 9 iliyopo Kikuyu Kaskazini, block Z.