Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,047
- 23,489
Nawaomba wenye makampuni ya taka kwa dhati kabisa mara wajapo majumbani mwetu kuzoa taka wawe wanatuachia risiti zinazotuonyesha ya kwamba wamezoa taka,(receipts of services) na si kutufanyia mambo ya kihuni ya kuwashtukizia watu mahakamani bila kujitambua.